SHAMATA CAP
Iliendelea Tena leo katika viwanja kiwanja cha shame mata Ambapo Ilizikutanisha timu machimbo kutoka micheweni pamoja na kiuyu
united kutoka kiuyu.
Mchezo ulikuwa
wa vuta ni kuvute nakila moja ikipeleka mashambulizi nakuonesha kandanda zuri
lakini mambo hayakuwa mazuri kwa timu ya machimbo kutoka micheweni.
Ndipo mchezaji
wa timu ya kiuyu united aliyevalia jenzi namba 20 mgongoni kwake.
Mfaki hamad alipo amua kuwanyanyua mashabiki
zake kwakuipatia timu yake goli la kwanza bao ambalo lilidumu mpaka kumalizika
kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Kipindi chapili
kikianza kwa kasi kubwa timu ya machimbo ikitafuta kusawazisha huku kiuyu
united nao kutafuta bao la nyongeza huku mchezaji wakiuyu united akalimwa kadi
nyekudu baada ya kumchezea mchezo mbaya
mchezaji wa machimbo.
Hadi kipenga
cha mwisho wa mchezo huo kiuyu united goal 1-0 machimbo haijapata kitu ligi
hiyo itaendelea tena kesho
(othuman
bakar
No comments:
Post a Comment