Monday, 7 January 2019

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Timu ya Simba na KMKM Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Simba Imeshinda Mchezo hHuo Bao

Mshambuliaji wa Timu ya Simba akijaribu kuwapita mabeki wa Timu ya KMKM katika mchezo wa Kuwania Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar,jana usiku Timu ya Simba imeshinda mchezo huo.














No comments:

Post a Comment