![mende](https://i0.wp.com/zanzibar24.co.tz/wp-content/uploads/mende.jpg?resize=800%2C445)
Bwana Kawogo anawafuga Mende hao na kuwauzia wafugaji wa Kuku na Samaki anasema mahitaji ya wadudu hao yameongezeka siku za karibuni.
Amesema wapo watu wanaohitaji kuanza ufugaji huo ambao wamekuwa wakitaka Mende wengi zaidi.
Aidha, amekuwa akiwashauri watu wanaotaka kuanza ufugaji huo, kununua boksi la Mende 100 tu kwani wakiwa wengi wanahitaji umakini kuwadhibiti.

No comments:
Post a Comment