Monday, 21 January 2019

Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini wa Yanga SC akanusha kurejea kwa Manji.


Yusuph Manji.
Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini wa  Yanga SC, George Mkuchika akana na kusema watu walimnukuu vibaya kuhusiana na kurejea kwa Yusuph Manji.
Kiongozi huyo ameeleza kuwa Manji atarejea Yanga ifikapo January 25 mwaka huu na kuwataka wanachama, mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuendelea kuwa na subira kwa kipindi hiki.

No comments:

Post a Comment